Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia upatikanaji wa bidhaa hizo zinazotumika zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiulizia bei ya samaki aina ya vibua katika soko la Mombasa ambapo fungu moja linauzwa shilingi elfu tano.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa za viatu na vitambaa katika eneo la biashara Saateni, alipotembelea eneo hilo kuangalia hali ya upatikanaji wa bidhaa hizo.

Picha na Salmin Said, OMKR
Kumbe kazi ya makamu wa kwanza wa rais wa ZNZ ni kutembelea masoko na kuangalia bei za vyakula? Kuna mambo mengi ya kufanya especially kuhamasisha watu wafanye kazi kwa bidii kuliko kuzunguka zunguka masokoni.
ReplyDelete