MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Leo saa tano atachukua fomu ya kugombea urais Urais mwaka 2015 katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mjini Dodoma.
Home
Unlabelled
Makamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...