Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa watafiti wa Kituo cha 'Center For Climate Changes Styles', Khalid Mwakobaa (kulia) na Rdith Benedict, wakati alipotembelea katika Mabanda ya maonesho kwenye Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, jana.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Siku ya Tabianchi Afrika, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kushirikiana na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya. Kuongamano hilo lilifanyika jana Juni 17, 2015 kwenye Ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu Dar es Salaam, jana. 
 Picha ya pamoja kwa kumbukumbu, baada ya ufunguzi wa Kongamano hilo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...