Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali zilizohifadhiwa kumbukumbu za aliyekuwa Waziri Mkuu wa India Marehemo Indra Gandhi wakati wa uhai wake. Marehemu Idra Gandhi aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 31.10.1984 akiwa kwenye viwanja vya nyumba hiyo ambayo alikuwa akiishi.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya Marehemu Indra Gandhi wakati alipotembelea makumbusho ya waziri mkuu huyo huko New De;lhi nchini India tarehe 18.6.2015
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipewa taarifa mbalimbali na Bwana Rajan Madan, Mkurugenzi wa Uzalishaji katika Kiwanda cha New Holland Fiat Limited kuhusiana na utengenezaji wa matrekta kwenye Kiwanda hicho huko New Delhi. Mama Salma Kikwete aliambatana na Rais Kikwete kuzuru kiwandani hapo ili kujionea utengenezaji wa matrekta.
PICHA NA JOHN LUKUWI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...