Wananchi wakiangalia kifaa kilichotengenezwa na Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili kusoma kiwango cha maji kwa bei uliyoweka na fedha yake unatumbukiza kisha maji yanaanza kutoka walipotembelea maonyesho ya 39 ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiwa katika Harakati za kutembelea mabanda ya maonyesho ya 39 ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Ofisa wa JKT akionyesha wananchi jinsi wanavyofuga kwa kisasa katikamaonyesho ya 39 ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (picha na Emmanuel Massaka).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...