Mkuu
wa mashindano ya Baiskeli na Barozi wa Umoja wa Ulaya Filiberto
Sebregondi akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani)katika
ukumbi wa mikutano wa Ubalozi wa Ulaya jijini Dar es Salaam leo.
kushoto ni Mratibu wa Msafara wa Mkuu wa Operesheni ya umoja wa Ulaya,
Eric Beaume.
Naibu
Mhamasishaji Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Umoja wa Ulaya, Godlove Stephen
akizungumza na waandishi wa habari hawapo hewani kuhusiana na mashindano
ya baiskeli yatakayofanyika Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam na
kulia ni Mkuu wa mashindano ya Baiskeli na Barozi wa Umoja wa Ulaya
Filiberto Sebregondi.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa watu
walioongelea kuhusiana na mashindano yatakayofanyika jijini Dar es
Salaam Juni 14 mwaka huu.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...