Mkurugenzi wa Liganga Blacksmith Group,akizungumza na wanahabari na kuwaonyesha bidhaa zinazotengenezwana kampuni hiyo walipoanzia na sasa walipo baada ya kupata mafunzo na kuwa wakopaji wazuri kwenye taasisi za fedha za mkoa huo.
Kemy Kiula, Mwenyekiti wa Kikundi cha wanaushirika cha trust deed of the regegistered of Tanzania , akipanga biashara na mwanaushirika mwenzake biashara zao zimerasimishwa na wameanza kujipatia mikopo.
wananchi wa morogoro eneo la kihondana viongozi wa manispaa ya morogoro wakiwa katika mikutano ya kuzungumzia elimu inayotolewa na uwasilishaji wa maombi ya mikopo katika mabenki baada ya kupimiwa mameneo yao na biashara zao.
Mzee Raphael Bundala, akiwaomba mkurabita washirikiane na mabenki kuunda chombo cha kuwa na akaunti yao ili mikopo wanapohitaji pasiwepo na usumbufu kama ilivyozoeleka kwa masikini hakopesheki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...