Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA,
Mhandisi Zebadiah Moshi (Kushoto) wakifuatilia majadiliano kwenye Mkutano wa
Shirika la Kazi Duniani (ILO) unaofanyika Geneva, Uswizi. Mada Kuu katika Mkutano
huo ambao umehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 2000 kutoka mataifa mbalimbali
ulimwenguni ni Mchakato wa Kurasimisha Sekta Isiyo Rasmi na Mchango wa
Ujasiriamali wa Kati na Mdogo katika Kutengeneza Ajira. Waziri Kabaka aliuhutubia
Mkutano huo tarehe 8 Juni, 2015 chini ya Uenyekiti wa Balozi wa Tanzania nchini
Uswisi Mh. Mero.
Home
Unlabelled
MKUTANO MKUU WA 104 WA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO), GENEVA 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...