Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 27 wa Ecobank wakiwa kwenye mkutano huo, katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre uliofanyika jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Meza kuu
Wakurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya ECOBANK wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo, uliofanyika ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam leo, 19 June 2015.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Emmanuel Ikazoboh (kulia), akiendesha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Ecobank Group, jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa mkutano huo wa 27 wa mwaka wa Ecobank, wakifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...