ZAMU YA WATANZANIA WAISHIO DALLAS TX KU-EXPERIENCE ILE TOUR NA PARTY KUBWA KABISA YA MoFLAVA ALL WHITE IMEKARIBIA. SATURDAY 20Th JUNE 2015, AT KENNYS ULTRA LOUNGE. WATANZANIA MUISHIO DALLAS TEXAS MSIKOSE HII NI KWA AJILI YENU.
REMEMBER DRESS CODE IS "ALL WHITE"!! PEOPLE WITH LESS THAN 50% WHITE OUT FIT WILL PAY MORE TO ENTER THE PARTY. ANGALIA PICHA ZA LAST PARTY ILIYOFANYIKA CINCINNATI OHIO LAST SATURDAY JUNE 6TH 2015
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...