MAREHEMU MZEE ALFRED MAGEGE.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inaungana na Familia ya Magege kwa masikitiko kutangaza kifo cha marehemu Mzee Alfred Magege kilichotokea jumamosi June 13,2015. Marehemu Alfred Magege alisumbuliwa na Saratani ya mifupa kwa zaidi ya miaka kumi.Marehemu ameacha Mke na watoto watatu. Kama kawaida yetu tunaombwa watanzania tujitokeze ili kuwafariji wafiwa.Ili tukamilishe Msiba huu kiasi cha $10,000 kinahitajika.Watanzania tuungane,tujitolee kwa hali na Mali tusaidiane kumzika Mtanzania mwenzetu.Michango yenu inahitajika. Tuchangie kupitia www.gofundme.com/wyfewd5
Msiba utakuwa
2939 Wilson Avenue,Bronx,NY,10469.
Kwa taarifa zaidi tuwasiliane na wafuatao.
Hajji Khamis:3476238965
Miriam Abu:9143162814
Seif Tunaomba msaada wenu wanagroup mwili uko Funeral home na michango inahitajika ili tukamilishe. Tuchangie tuwezavyo kwani katika hali inayoweza kumkuta kila mmoja kati yetu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...