Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Reli, Kata ya Njoro, Manispaa ya Moshi mjini jana.
Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi mjini wakiwa kwenye mkutano wa hadhara katika uwanja wa reli wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa ,Mh Freeman Mbowe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...