Mbunge wa Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Luana waliojitokeza kuungana nae katika maendeleo ya kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara yenye urefu wa km 2 aliyowachongea
 |
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akielekea kujumuika na wananchi wake wa kijiji cha Luana kuchimba mifereji ya kutolea maji katika barabara ya kijiji cha Luana ambayo ameshirikiana na wananchi hao kuichonga |
 |
Wananchi wa Luana wakielekea kazini pamoja na mbunge wao |
 |
Wananchi wa Luana wakiwajibika kuchimba barabara |
Ni vizuri kuhamasisha maendeleo ya wananchi, uongozi wenye muelekeo na dhamira njema unaweza kuwaelekeza wananchi jinsi ya kushiriki katika maendeleo yao.
ReplyDelete