Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwamini Malemi akifungua mkutano wa Teknolojia na Huduma za Ulinzi wa
Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double TreeJijini Dar es Salaam. Mkutano huu
unawashirikisha wadau wa sekta Teknolojia ya Usalama kutoka nchini Ujerumani na
Tanzania
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za
Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwamini Malemi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano huo katika
Hoteli ya Double Tree,Jijini Dar es
Salaam.
Washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za
Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwamini Malemi
Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Teknolojia na Huduma za
Ulinzi wa Umma wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwamini Malemi
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (katikati)
akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa Teknolojia na Huduma
za Ulinzi wa Umma unaofanyika katika Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es
Salaam. Kushoto kwake ni MWenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania, Mhe Almasi Maige
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...