Naibu
Katibu wa wizara ya uchukuzi, Monica Mwamunyange akizungumza na waandishi
wa habari kuhusiana na uzinduzi wa Baraza la watumiaji wa huduma za
usarifishaji wa Anga hapa nchini mara baada ya kutoka kwenye mkutano
uliofanyika katika Hotel ya New Africa jijini Dar es Salaam leo.
Katibu
mtendaji wa Baraza la watumiaji wa usafiri wa anga hapa nchini Hamza
Johari akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana watumiaji wa
usafiri wa anga kutokuweka vitu vya thamani kubwa kwenye mabegi yao
wakati wa kusafiri katika mkutano uliofanyika katika Hotel ya New Africa
jijini Dar es Salaam leo.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Baraza la watumiaji wa usafiri wa anga hapa nchini.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...