![]() |
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ,akiwa na mtoto aliyevalia fulana iliyoandikwa Dogo Janja jina ambalo Nassari alipewa mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi uliompatia Ubunge, |
![]() |
Mbunge Nassari akiwahutubia wananchi katika kata ya King'ori jimbo la Arumeru Mashariki akihamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Hiyo fulana inatakiwa apewe mpya matundu yaliyopo yanaonyesha imechoka.
ReplyDeleteAmsomeshe motto huyo hadi amalize sekondari!
ReplyDelete