Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2014 mara baada ya Shirika hilo na mengine mawili kutangazwa kuwa mwajiri bora wa mwaka 2015 iliyotolewa na Chama Cha Wafanyakazi wa Migodini, Ujenzi, Nishati na Kazi nyingine (TAMICO). Katikati ni Mwenyekiti wa TAMICO Taifa, Mbaraka Igangula akishihudia. Katika tuzo hizo jumla ya waajiri 160 walishindanishwa na kupatikana watatu bora ambao ni NHC, Kampuni ya kuchimba madini ya Geita Gold Mining (GGM) na Wakala wa Ujenzi wa Barabara Tanzania (Tanroad).
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo (Kulia) Meneja wa Huduma kwa Jamii wa NHC, Muungano Saguya na Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa NHC, Yahya Charahani wakiimba wimbo wa solidarity forever wakati wa hafla hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...