Afisa Mtafiti wa shughuli za mfuko wa Taifa wa bima ya Afya, Shani Mussa akitoa maelekezo katika maonyesho ya utumishi wa umma yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya madaktari wakitoa maelezo kwa wananchi waliojitokeza katika maonyesho ya utumishi wa umma yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...