Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa
fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama hicho kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mtwara.
Mchakato wa udhamini
ukiendelea kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mtwara mjini.
Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa
fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Masasi Mkoani
Mtwara.
CCM Oyeee…Ndivyo
wanachama wa CCM Wilayani Masasi walivyokuwa wakisikika mara baada ya
kumdhamini Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katika Mchakato wa Kuwania
nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kupitia CCM.
Wanachama wa CCM Wilayani Masasi wakimsalimia
Dkt. Magufuli
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...