Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakati alipokwenda kijijini Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma Ijumaa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na mtoto wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere wakati alipokwenda kijijini Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo kwenye hoteli ya Malaika mjini Mwanza. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...