Afisa
Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF mkoani Manyara Bw. Said Ismail akitoa mada kwa
wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara. Moja ya jukumu la PSPF ni
kutoa elimu juu ya PSPF na sekta nzima ya hifadhi ya jamii, PSPF inaendelea
kutoa semina kwa vyuo mbalimbali nchini.
Wanafunzi wa chuo cha Afya Huydom, mkoani Manyara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...