Ndege zikipita na kuchora rangi za bendera za Msumbiji jana wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru wa msumbiji jana.
Askari wa Msumbiji wakishuka na mwavuli wakati wa sherehe za uhuru(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter
Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo
Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru
wa Msumbiji jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...