Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abubakari Katwila a.k.a Qchilla akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam kuhusiana na kuzindua video yake ya wimbo utakaojulikana kwa jina la FOR YOU,POWER OF LOVE, kushoto ni Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J.
Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J. akizungumza kuhusiana na kuzindua video ya wimbo ulioimbwa na Q uchilla,utakaojulikana kwa jina la FOR YOU,POWER OF LOVE leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar es Salaam leo,kushoto ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Mwana Mohamed a.k.a Mb Doggy, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abubakari Katwila a.k.a Qchilla na Msanii chipukizi wa Mziki wa Kizazi kipya, Uwesu Ramadhani.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abubakari Katwila a.k.a Qchilla jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Avila Kakingoi,Globu ya Jamii.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...