Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Wazanzibari waliofika
kuwapokea mara walipowasili Maritim Hotel katika Mji wa Wurzburg Nchini
Ujerumani wakiwa katika ziara ya kiserikali pamoja na ujumbe wa Viongozi
mbali mbali aliofuatana nao katika ziara hiyo Rais atafungua
maonesho ya Muziki yanayojumuisha Wasanii mbali wa Nchi za Afrika na Mabara mengine ambayo hufanyika kila mwaka,[Picha na Ramadhan Othman.]
Home
Unlabelled
RAIS Dk.Shein Nchi ni Ujerumani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...