Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata mapokezi Rasmi kutoka kwa mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto kwa ujumbe alioambatana nao Ikulu ya Finland.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake, Rais wa Finland Mhe. Sauli Niinisto.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...