Sensei Yoshiro Miyazato, Kancho
Mwenyekiti wa Okinawa Goju Ryu Jundokan So Honbu akimkabidhi cheti cha Dan ya 3
Sensei Rumadha Fundi mjini Naha, Okinawa, hivi karibuni. Sensei Rumadha sasa
anashikilia Dan 3 kutoka vyama viwili vya karate – ikiwa ni Dan 3 kutoka
Okinawa Goju Ryu Karate na Dan 6 kutoka Tanzania Karate do Federation.
Sensei Rumadha akiwa Jundo Kan Dojo,
chimbuko la Goju Ryu Karate duniani, lililoko Naha, Okinawa.
Mke wa Kancho Miyazato akimfundisha
mtoto wa Sensei Rumadha, Iman, juu ya Sanaa hiyo ya kujilinda.
Sensei Rumadha akiwa mbele ya kaburi
la mwanzilishi wa Naha te Goju Ryu
Karate, Master Kanryo Higashionna (Higaona) huko Okinawa.
Sensei Rumadha na bintiye Iman wakipata chakula cha jioni na wenyeji wao
mjini Naha, Okinawa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...