SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA SUMAJKT LITASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA SABASABA.
TUNAWAKARIBISHA KUJA KUTEMBELEA KATIKA BANDA LA SUMAJKT NA KUPATA BIDHAA NA HUDUMA ZENYE UBORA.
PIA WAWEZA KUTUTEMBELEA KATIKA BLOGU YETUwww.sumajkt.blogspot.com
na pia TOVUTU YETU www.sumajkt.go.tz
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...