Makamu Mwenyekiti waTabata Kisiwani (TBT),Brito Burure akizungumza na waandishi leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO , Jijini Dar es Salaam juu ya Maandalizi ya Sherehe za ubingwa wa Timu ya Yanga itakayofayika Juni 16 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kulia ni Mweka hazina wa tawi hilo Lawrence Zephiline.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti waTabata
Kisiwani (TBT),Brito Burure katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo
jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...