Mtoto mkazi wa Rupingu akitoka kuchota maji katika kina kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa kuchafuka na hivyo maji ya pembeni kuwa na uchafu mwingi.
|
Home
Unlabelled
TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Taswira ya ziwa Nyasa inapendeza, tuhamasishe maendeleo ikiwapo utumiaji maji safi na salama kutoka ziwani uvuvi na utalli ili wenyeji waweze kunufaika na uwepo wa ziwa hili.
ReplyDelete