Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mabalozi wa sasa na wa zamani waliopata kuiwakilisha Finland nchini Tanzania. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini humo, Balozi Dorah Msechu.

![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtafiti na mwanasayansi Mtanzania wa mambo ya mawasiliano na mitandao katika Chuo Kikuu cha Aalto cha Helsinki Dkt Edward Mutafungwa alipotembelea chuoni hapo kujionea shughuli za chuo hicho maarufu nchini Finland |

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mfalme Gustav wa 16 wa Sweden katika kasri la Mfalme wa nchi hiyo jijini Stockholm.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Ulaya Ulaya ukiangalia kuta na mapambo yanapendeza.
ReplyDeleteHuyu Rais Kikwete ametuwakilisha vizuri sana nje ya nchi. Uchangamfu mkubwa na, AFYA, repeat, AFYA nzuri. Rais akiwa mzee sana kama Mugabe au MGONJWA kama alivyokuwa marehemu Banda ni shida...Rais wa namna hiyo atakuwa anahudhuria mahospitali tu wakati za ziara za nje!
ReplyDelete