Sehemu ya Mandhari ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani,mbele yake ni moja ya kisiwa kiitwacho Misira.

 kwa mbaaali  ni muonekano wa ziwa victoria
 Sehemu ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo pichani
 Sehemu ya katikati ya mji wa Bukoba kama uonekanavyo jioni ya leo.
 PICHA NA MICHUZI JR-BUKOBA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2015

    Bukoba inataswira nzuri hasa ukiangalia kutoka Kashura pale Kolping inapendeza sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...