Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6 hapa chuoni UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA
|
Home
Unlabelled
UDSM YAWATUNUKIA TUZO DR. MENGI, MILLARD AYO, SHERIA NGOWI, DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...