Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakibadishana hati za makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Masika akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya kushirikiana na Assocition of Citizen Contractors Tanzania(ACCT)leo chuoni hapo,kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo,Milton Nyerere.Taasisi hiyo itatoa mafunzo kwa mafundi mchundo na mafundi Sanifu ili kuwawezesha Makandarasi Wazalendo kuhimili ushindani dhidi ya Makampuni ya kigeni.
Katibu Mtendaji wa Umoja wa Makandarasi Wazalendo(ACCT)Angela Joseph akizunguza wakati wa hafla hiyo.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Mgaya akizungumza jambo juu ya kuwawezesha Mafundi Mchundo na Mafundi Sanifu kufanya kazi kwa ubora.Mafunzo yatatolewa katika chuo hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2015

    I am not judging ila kusimama ukiwa umejiegemeza kwenye meza namna hiyo kwa nyadhifa walizonazo huyo Dada na Mkaka na ukiwa unazungumza mbele za watu haileti picha nzuri imekaa kizembezembe. I am just saying!!

    ReplyDelete
  2. ni kweli kabisa ila ni kwa sababu ni wahandisi hawajui hayo mambo wanafikiri wako site all the time, Mwanaume ni mwalimu wangu namjua vizur sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...