Kingine kipya kutoka Star Times
kinadondoka kwako! App kali ya Tenbre; sasa itakufanya uzipate habari zote
kali, chat room inakayokupa uwezo wakualika marafiki, kupiga stori mbalimbali za
vipindi vya Startimes ambapo tabasamu hutawala.
Orodha yote ya vipindi vya wiki
nzima itakuwa kiganjani mwako kupitia smartphone yako, unapata uwezo wakipekee kupanga
channel uzipendazo kutegemeana na nchi; au mkoa. Si hilo tu, wale wapenzi wa filamu
na muziki na habari zataifa hatuja waacha nyuma.
Utaona vipindi vikiruka live, vipindi
vifuatavyo kwenye ratiba na pia kukusaidia kuweka kumbukumbu ya vipindi vyako
bora unavyo vipenda.
Tazama salio lako la pochi yamtandaoni
kwaurahisi zaidi, kujua salio kiasi gani limebaki kwenye akaunti yako. Yote ndani
yaTenbre, huduma bora toka StarTimes.
Ukitaka kudownload bonyeza hapa bofyahapa
Kama unaswali au ungependa kujua zaidi, tembelea kurasa za Startimes
hapa chini.
naitwa Prince venance natafuta marafiki wengi ili tu chati na kujuana zaidi my no 0689683560
ReplyDeletenatafuta mpenzi (girlfriend) awe tanga umri 20_25 msg zitajibiwa 0786818413
ReplyDelete