Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (shoto) akizungumza jambo na Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro kutoka mikoani
walikuja Dar kula Bata wakati wa hafla ya Tuzo za Kilimanjaro
Tanzania Music Awards 2015, Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Washindi wa Promosheni za Kilimanjaro kutoka mikoani walikula Bata jijini Dar es Salaam kushuhudia Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015, Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...