Sehemu ya Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague wakiwa na furaha kwa kupata fursa hiyo adimu
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga JK katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague
Wakubwa kwa wadogo walikuwepo
Hongera sana mkuu...
Tutakumiss sana mhishimiwa....
I really don't get it kushabikia viongozi wa Bongo wakati wanaishi Ulaya. Policies za bongo sidhani zinakusaidia wewe uishie Hollland. Anyway, zat would not happen where am, we just don't have the time.
ReplyDeleteNaishi ulaya mwaka wa 25 sasa, sina kawaida ya kuwashabikia viongozi wa bongo kwani haina tija. Kama mtu anapenda kuwashabikia viongozi, so what? Bongo nina investments zangu nyingi, isitoshe Bongo ndo nyumbani,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, JK kafanya kazi nzito kweli kuinua uchumi wa Bongo. Hivyo acha roho ya shubiri, eti kama mtu ana kaa ulaya basi asiwashabikie viongozi wa bongo, some bongo brains zinafanana na bangi brains!
ReplyDeleteMta maoni hapo juu kwani ukiishi nje ndiyo unasahau kwenu. Policies za bongo zinaweza zisikuguze wewe binafsi lakini usisahau ndugu, jamaa, na marafiki wengi wapo bongo na yanayowapata lazima yakuguse kwa namna moja au nyingine. Wewe unapoenda bongo hufurahi kuona kuna maendeleo au usikitiki ukiona kuna shida?
ReplyDeleteBinafsi nadhani haina tofauti na mtu unapokuwa mbali na kwenu,mathalan ughaibuni na hata kwengineko, then ukapata mgeni toka kwenu na kuja kukutembelea huko uliko, hata kama alikuwa anapita njia kuelekea sehemu nyingine, lakini lile jambo la kuja mkaonana tu, pia si haba na khasa mtu unapokuwa mbali na nyumbani huwa ina raha yake, tusiwe wachoyo wa fadhila na dhaifu wa shukurani. Siku zote tukumbuke, kilicho kibaya kwako, basi hicho hicho ni chema kwa mwenzako.
ReplyDeleteNamshangaa jamaa anayeona vibaya watanzania kuwakaribisha viongozi hapa Holland. Wewe unadai unaishi ulaya basi utakuwa umekuja hapa kama mkimbizi wa kugushi na umekosa identity matokeo yako umedevelop self-hate syndromme. Mtu kama wewe inawezekana hata umeisha sahau Tanzania kunafananaje. Shame on you.
ReplyDelete