Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Viwanja vya Mnazi Mmmoja, Dar es Salaam jana.
 Vitengo vya upimaji afya bure, Elimu kwa Umma na Uanachama wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliofika bandani hapo.
 Mwananchini akihudumiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kuonekana anahitaji huduma ya kwanza katika banda la Mfuko. NHIF imeweka gari maalum kwa ajili ya kutoa huduma za haraka kwa wananchi watakaopata tatizo la afya viwanjani hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...