Waziri wa Sheria na Katika Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea majina ya wadhamin toka kwa katibu wa CCM Mwanga Bi Mwanaidi
Dkt. Migiro akiwa na list yake ya wadhamini Mwanga Kilimanjaro
Dkt. Migiro akiwa na kaka zake kwenye kaburi la baba yake Cheif Shaaban Mndorwe Mtengeti Sangiwa II na babu zake waliotangulia.
Wakina mama shime twende, wasichana wetu wanaangalia na kutiwa moyo kutojiweka nyuma nyuma fursa zozote zinapojitokeza. Changamkia post.
ReplyDelete