Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (Mb) akionyesha
Begi la Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 wakati
anawasili katika Viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma leo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni
Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, Mjini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...