Amiri
wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala
ya Iddi katika viwanja hivyo.
Shekh
Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja
vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.
Swala ikiendelea. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com
Naomba kuuliza, kwa nini dhehebu hilo wanasali siku moja kabla na waislamu wnegine? Mie niliambiwa Waislamu aidha waone mwezi au wamalize siku 30.. naomba mnielimishe..
ReplyDeleteSwali zuri.
ReplyDeleteNdugu yetu kauliza swali na mimi nitajaribu kulijibu kwa ufahamu wangu.
Hao nadhani wanafuata kalenda ya kuandama mwezi Saudi Arabia.
Kwa kiifupi hizi ikhitaf ndogo ndogo zisitushugulishe saana. Na zinaweza kuwa rehma kwa kuongeza elimu
. Kinachotakiwa ni kusikiliza hoja za mashehe na kimisingi ya Koran na hadithi na vitendo vya Mtume.
Baada ya hapokumuachia Mwenyezi Mungu na mtu kufata anayoridhika nayo.
Mimi nafuata kauli ya kuona mwezi katika nchi ninayoishi. Hivyo Kesho .
Kimuhimu ni kuwa msifarikiane na kuishi kindugu kama tulivyoamrisha. Haya madehebu yanarudi kwenye shina moja Uislam.