Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Bank Tanzania, Bw. George Shumbusho akitoa neon la shukrani kwa wateja na wageni waalikwa wa benki hiyo waliohuzuria hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam juzi.

Mkuu
wa Huduma za rejareja kutoka benki ya Exim Tanzania, Bw. Raul Singh
(wapili kulia waliosimama)na Meneja wa benki hiyo tawi la Samora Bi.
Hawa Msangi (wa kwanza kutoka kulia) wakibadilishana
mawazo na baadhi ya wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya futari
iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam juzi.
Meneja wa Benki ya Exim tawi la Namanga jijini Dar es Salaam, Bi. Anna Wesiwasi (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wateja na wageni waalikwa wa benki hiyo waliohudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini Dar es Salaam juzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...