Mkuu wa Masoko wa Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited, Zachy Mbenna akikagua bidhaa za Afri-Tea& Coffee Blenders katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mteja akionja Uji Bora kama bidhaa mpya ambao hutengenezwa na Afri-Tea& Coffee Blenders (1963)Limited katika banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la banda la maonyesho ya Sabasaba ya 39 ya kimataifa ya kibiashaya
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es
Salaam.
PICHA NA EMMENUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII
PICHA NA EMMENUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...