Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Jamal Mohammed Abeid kabla ya futari iliyotayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana jioni katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba.
Akinamama wa Vijiji tofauti vya Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kwa wananchi hao
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid na Bi Mauwa Daftari wakiwa katika futari iliyofanyika katika Ikulu ya Wete Pemba ambayo imetayarishwa kwa wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...