Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza katika mkutano wa madiwani wa manispaa ya Ilala uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
 Madiwani wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika baraza la kuvunja baraza lao jana katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikiristo na Dini ya Kiislam wakifuatilia mkutano wa kuvunjwa kwa baraza la madiwani wa Manispaa ya ilala katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
 Diwani wa Jimbo la Segerea wa Chama  CHADEMA, Azurly Mwambagi akizungumza katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilala katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
Diwani wa Jimbo la Jangwani wa chama cha CCM, Abuu Jumaa akizungumza katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilala katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.(PICHA NA AVILA KAKINGO,GLOBU YA JAMII)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...