Baadhi ya wafanyakazi
wa Benki ya (PBZ) na wageni walikwa wakiingia kwenye ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort kwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wana
Famili wa Benki hiyo na wateja wao.
Mkurugenzi Masoko PBZ
Seif Suleiman akiwaongoza wageni walikwa kupata futari iliyoandaliwa na Benki
hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Walikwa na wafanyakazi
wa PBZ wakijipakuli futari.
Walikwa na wafanyakazi wa PBZ wakijipakuli futari.
Mkurugenzi Huduma za
Kibenki Said M. Said akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya PBZ Juma
Amour (hayupo pichani) azungumze na walikwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya watu wa Zanzibar PBZ Juma Amour akizungumza na wanafamilia wa Benki
hiyo na wageni walikwa waliofika kupata futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki
yao kwenye ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini nnje kidogo ya
Mji wa Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo, Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...