Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na Viongozi wengine katika futari iliyoitayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akijumuika na wake wa Viongozi wakati wa futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.
Akinamama wa Mkoa wa Mjini magharibi wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Uguja.
Wananchi na Waislamu wa Mitaa mbali mbali katika Mkoa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi baada yafutari waliyoitayarisha jana kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi waliohudhuria katika futari waliyowaalika jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Ungu baada ya kumalizikakwa futari hiyo,[Picha na Ikulu.]
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...