Diwani wa Kata ya Vituka, Kenny Makinda (kulia), akisaidia kumtwisha ndoo ya maji Mwajuma Mikorota wakati wa hafla ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ya kukabidhi kisima cha maji katika eneo la Nasizi, Vituka kwa Limboa, Temeke, Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (katikati), akisaidia kumtwisha ndoo ya maji Haisha Juma wakati wa hafla ya TBL, ya kukabidhi kisima cha maji katika eneo la Nasizi, Vituka kwa Limboa, Temeke, Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Ali Limboa ambaye ni wa eneo la Limboa.
Akina mama wakazi wa eneo la Kwa Limboa, Temeke,Dar es Salaam, wakiteka maji baada ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kukabidhi kisima cha maji kilichojengwa na kampuni hiyo katika Nasizi, Vituka, wilayani Temeke. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...