Mgombea
ubunge viti maalum mkoa wa mbeya Dr.Mary Mwanjelwa aibuka mshindi
katika kura za maoni kutoka kwa wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya na kupata
ridhaa ya kulejea tena katika kiti cha ubunge viti maalum mkoa wa Mbeya
kwa ushindi wa kishindo wa asilimia 97 na kuwashinda wagombea kumi (10)
kati ya kumi na moja (11) walio kuwa wakigombea na kutaka kuteuliwa na
wajumbe wa ccm mkoa wa mbeya...Picha zote Na Fadhiri Atick, Mbeya.
Mshindi
wa ubunge viti maalum kupitia chama cha mapinduzi mkoa wa mbeya Dr.Mary
Mwanjelwa akiwashukuru wajumbe wa ccm mkowa wa mbeya mara baada ya
ushindi katika uchaguzi wa kumpata mbunge viti maalum mkoa wa mbeya ulio
fanyika tar:24-07-2015, katika ukumbi wa nyerere Musti jijini mbeya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...