Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2015

    Naomba nichukue fursa hii kuishukuru CCM kwa matangazo hayo! Yaani quality ni safi sana.. hakuna buffering. Mambo za fibre optic hayo! Ila pia naomba nitoe wito kwa serikali ihakikishe na TBC inauwezo wa ku-livestream angalau nusu saa kwa kila siku.

    Mdau Ulaya..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2015

    Katika hao, most likely atakuwa DKT JOHN POMBE MAGUFULI, kama si huyo basi atakuwa BALOZI AMINA SALUM ALI, na kama si huyo basi atakuwa DKT ASHA ROSE MIGIRO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...