Taarifa ya ajali gari kugonga treni tarehe 01/07/2015 majira ya 0730 gari no T. 837 CTM aina ya ISUZU Jouney mali ya FEISAL s/o HUWEL ikitokea Tindiga kwenda Morogoro ikiendeshwa na Bakari s/o Seleman 35yrs mkazi wa kilosa iligonga treni no 88u03 treni iliyokuwa ikitoka Morogoro kwenda Dodoma ikiendeshwa na Inea s/o Chipindula 48yrs  mkazi wa Morogoro 
Ajali hiyo imesababisha vifo vya watu 4, (01)Salehe s/o Gombaike 35yrs mkutu, (02)Mama Husna 33yrs mzaramo mkazi mamoyo, (03)Sulat Mwajiri 06yrs, (04)Mwajiri 38yrs mkazi wa Pugu dar es salaam, majeruhi 25 wote wamelazwa hospitali ya wilaya Kilosa. 

Imetolewa na KAIMU RPC MOROGORO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2015

    Jamani vipi tena huyo mtoto alieko chini hapo mbona kama kavunjwa miguu na ajali, na hawaishwi hospitali askari wa barabarani waendelea na kazi yao ya kupima pima utu uko wapi? sidhani kama ni kosa la huyo mtoto, taabu sana binadamu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2015

    Poleni wafiwa na walioathirika wa ajali hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...